Recomienda este artículo a tus amigos:
Uongozi Na Utumishi Gerson Mgaya
Uongozi Na Utumishi
Gerson Mgaya
Katika kitabu hiki ninaandika habari za Utumishi. Ikiwa kwa muda mrefu umetamani kutumika kwa namna Maandiko Matakatifu yanavyoeleza, basi kitabu hiki ni mwafaka kwako. Katika kitabu hiki utajifunza tofauti za kiongozi na mtumishi na kwa namna hiyo utarudishwa katika utumishi ambao kama utapenda kuufuata kama ilivyoelezwa kwenye kitabu hiki, umalizapo huduma yako, Mungu atakuambia "vema mtumishi mwema, umefanya kama nilivyokuambia."
| Medios de comunicación | Libros Paperback Book (Libro con tapa blanda y lomo encolado) |
| Publicado | 1 de diciembre de 2017 |
| ISBN13 | 9781981309146 |
| Editores | Createspace Independent Publishing Platf |
| Páginas | 206 |
| Dimensiones | 129 × 198 × 11 mm · 204 g |
| Lengua | Swahili |