Mungu Hakopeshwi - Zainab Alwi Baharoon - Libros - Mkuki na Nyota Publishers - 9789987753932 - 20 de diciembre de 2017
En caso de que portada y título no coincidan, el título será el correcto

Mungu Hakopeshwi

Precio
$ 28,99
sin IVA

Pedido desde almacén remoto

Entrega prevista 16 de jun. - 3 de jul.
Añadir a tu lista de deseos de iMusic

Riwaya ya Mungu Hakopeshwi inaelezea maisha ya familia moja ya Unguja iliyoingia katika mitafaruku na mikasa mingi. Kila kitu huwa na chanzo na khatima; basi ni nini chanzo cha mitafaruku hiyo na khatima yake ilikuwaje? Simulizi ni juu ya baba, Bw. Ahmed, mwenye hasira kali zisizo na mipaka, aliyeongoza familia yake kwa utashi wa nafsi yake, bila kujali hisia za mkewe wala wanawe. Kumbe moyoni mwake alihifadhi siri, na hiyo siri ndiyo iliyomfanya Bw. Ahmed kuwa mkali bila kiasi, ikimsukuma azuie kurejea kwa yale yaliyomfika zamani. Lakini kivuli cha historia ya maisha yake ya nyuma hakikuacha kumuandama. Riwaya hii i meandikwa kwa lugha nzuri na fasaha, kwa ufundi wa msanii makini na mwelewa wa maisha ya jamii za Kizanzibari na za mwambao kwa jumla.

Medios de comunicación Libros     Paperback Book   (Libro con tapa blanda y lomo encolado)
Publicado 20 de diciembre de 2017
ISBN13 9789987753932
Editores Mkuki na Nyota Publishers
Páginas 254
Dimensiones 129 × 198 × 16 mm   ·   226 g
Lengua Swahili  

Mere med samme udgiver