Biubwa Amour Zahor Mwanamke Mwanamapinduzi - Yunus Zuhura Yunus - Libros - Amazon Digital Services LLC - KDP Print  - 9789987735846 - 1 de noviembre de 2021
En caso de que portada y título no coincidan, el título será el correcto

Biubwa Amour Zahor Mwanamke Mwanamapinduzi

Precio
$ 28,49
sin IVA

Pedido desde almacén remoto

Entrega prevista 19 de jun. - 8 de jul.
Añadir a tu lista de deseos de iMusic

Biubwa Amour Zahor: Mwanamke Mwanamapinduzi ni kitabu cha kipekee kabisa katika historia ya ushiriki wa wanawake kwenye harakati za Waafrika kijitawala, siyo kwa Zanzibar tu, bali kwa Tanzania nzima na Afrika kwa ujumla.

Ushiriki wa Biubwa katika Mapinduzi ya Zanzibar haukulenga kupata cheo wala sifa, bali kutoa mchango wake muhimu katika kuwezesha Mapinduzi, jambo ambalo ni nadra sana katika siasa. Biubwa ametoa mfano wa uwanamapinduzi unaotakiwa kuigwa na wengi, hasa vijana wa jinsia zote wanaopenda nchi yao, ili kuhakikisha kuwa nchi yetu na Afrika yetu inasonga mbele.

Medios de comunicación Libros     Paperback Book   (Libro con tapa blanda y lomo encolado)
Publicado 1 de noviembre de 2021
ISBN13 9789987735846
Editores Amazon Digital Services LLC - KDP Print
Páginas 226
Dimensiones 152 × 229 × 12 mm   ·   308 g
Lengua Inglés  

Mere med samme udgiver