Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi - Enock Maregesi - Libros - AuthorHouse UK - 9781477222966 - 13 de septiembre de 2012
En caso de que portada y título no coincidan, el título será el correcto

Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi Swahili edition

Precio
$ 48,99
sin IVA

Pedido desde almacén remoto

Entrega prevista 19 de jun. - 8 de jul.
Añadir a tu lista de deseos de iMusic

También disponible como:

'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya ? na kung?oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi ? na duniani kwa jumla.
Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda ? na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili ? na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.

Medios de comunicación Libros     Hardcover Book   (Libro con lomo y cubierta duros)
Publicado 13 de septiembre de 2012
ISBN13 9781477222966
Editores AuthorHouse UK
Páginas 406
Dimensiones 27 × 152 × 229 mm   ·   748 g
Lengua Swahili